VIGEZO VYA KUTAMBUA UMUHIMU WA MHUSIKA/ VIGEZO VYA KUTAMBUA JINSI MHUSIKA AMEKUZA PLOTI/ VIGEZO VYA KUTAMBUA UMUHIMU WA MANDHARI
Mandhari ni mahali

- • Tambua Mhusika anaye tambulika kupitia yeye
- • Tambua Muhusika na sifa zake anayetambulika kupitia yeye
- • Tambua maudhui anayoyakuza (tumia sifa za mhusika kama maudhui)
- • Tambua suala analolikuza(tumia maudhui yaliyosalia kama suala)
- • Tambua mgogoro anaoukuza (kati ya nani na nani kuhusu nini?)
- • Tambua toni anayokuza
- • Tambua funzo analokuza
- • Tambua Mbinu kuu zinazokuzwa- barua, kisengere nyuma, uzungumzi nafsia, nyimbo, shairi
- • Eleza namna amekuza ploti.
- Aina za mandhari
- :Mahali maalum, Mandhari ya hali na mandhari ya wakati
Anza majibu yako kwa;
- 1. Anachimuza . . .
- 2. Anachipuza . . .
- 3. Anaendeleza . . .
- 4. Ni mfano wa . . .
- 5. Ni kielelezo cha . . .
- 6. Anaadhihirisha . . .
- 7. Anatambua/ anatambulisha
Yours in Education, Mentorship and Service,
Mwalimu Malata O.J. Benson
Teacher – Mentor – Publisher – Writer – Political Analyst – Educational Consultant – Motivational Speaker
0728701795 · bensonmalata65@gmail.com
Comments (0)
Loading comments…
Found this useful? Share it with a teacher, parent or KCSE candidate.
More from Workshops