TONI NA MAZAJI
Toni na mazaji ni hisia

Toni ni hisia za nafsi neni
Mazaji ni hisia za msemewa au hadhira
Tambua toni kisha utoe ithibati.
Toni iandikwe kwa nomino dhahania au kitenzi jina.
Aina za toni
- • Toni ya furaha/kufurahi -
- • Toni ya huzuni/kuhuzunika —
- • Toni ya malalamishi/kulalamika —
- • Toni ya ushauri — Mrima piga moyo konde
- • Toni ya kuhimiza — wewe ni mwanaume-
- • Toni ya kukejeli —
- • Toni ya kuonya —
- • Toni ya majuto —
- • Toni ya hasira —
- • Toni ya matumaini —
Yours in Education, Mentorship and Service,
Mwalimu Malata O.J. Benson
Teacher – Mentor – Publisher – Writer – Political Analyst – Educational Consultant – Motivational Speaker
0728701795 · bensonmalata65@gmail.com
Comments (0)
Loading comments…
Found this useful? Share it with a teacher, parent or KCSE candidate.
More from Workshops