KUCHANGANUA MTINDO/ MBINU
Hizi ni Bunilizi

1. Taswira — taduwaa napoona
AINA ZA TASWIRA
- • Taswira oni — napoona
- • Taswira mnuso —
- • Taswira mwonjo —
- • Taswira sikivu —
- • Taswira hisi —
- • Taswira mguso —
- • Taswira mwendo — vitabu wamegura
2. Takriri / uradidi
Aina za Takriri / uradidi / usambamba :
- i) Takriri sauti
- ii) Takriri silabi
- iii) Takriri neno
- iv) Takriri kipande
- v) Takriri sentensi / mstari
Majukumu ya takriri
- i) Huleta urari wa vina
- ii) Kuleta mdundo
- iii) Kusisitiza maudhui ((iii), (iv), (v))
- iv) Kuchochea / kukuza toni ya ________
- v) Kukuza wahusika na sifa zao ((iii), (iv), (v))
- vi) Kutambua wahusika
- vii) Kusisitiza dhamira ((iii), (iv), (v))
- 3. Methali — _______________
- 4. Kuchanganya ndimi — _______________
- 5. Kuhamisha msimbo — _______________
- 6. Utohozi — afisi
- 7. Tashbihi — mrefu kama twiga
- 8. Istiara — kilema ni mwanaume
- 9. Nahau — piga moyo konde
- 10. Msemo — piga moyo konde
- 11. Tanakuzi — kupanda kushuka
- 12. Kweli kinzani — maisha ya kwenda mbele nyuma
- 13. Kinaya — _______________
- 14. Majazi — _______________
- 15. Tashhisi — _______________
- 16. Balagha — Wanafunzi jamani, hii ni nidhamu ipi?
- 17. Nidaa — wa!
- 18. Chuku — __________
- 19. Jazanda — Wewe ni mwanaume
- 20. Tabaini — __________
- 21. Tanakali za sauti — __________
- 22. Mdokezo-
Mbinu Kuu
- 1. Barua
- 2. Wimbo
- 3. Shairi
- 4. Kisengere nyuma
- 5. Kisengere mbele
- 6. Uzungumzi nafusia
- 7. Hadithi ndani ya hadithi
Umuhimu wa Mbinu za Lugha
- • Jazanda: Wewe ni mwanaume — kuonyesha picha ya ujasiri.
- • Balagha: Si tuliambiwa sisi ndio viongozi wa kesho? — Kudadisi nafasi ya vijana kwa uongozi.
Yours in Education, Mentorship and Service,
Mwalimu Malata O.J. Benson
Teacher – Mentor – Publisher – Writer – Political Analyst – Educational Consultant – Motivational Speaker
0728701795 · bensonmalata65@gmail.com
Comments (0)
Loading comments…
Found this useful? Share it with a teacher, parent or KCSE candidate.
More from Educational News